Monday, August 22, 2011

Inuka waanzisha kituo cha rufaa cha walemavu

Katibu mkuu kiongozi wa serikali Bw. Philimon Luhanjo akiwa na viongozi mbalimbali wa madhehemu ya dini katika uzinduzi wa kituo cha Inuka, ambacho kinahudumia watoto wenye ulemavu wa ubongo na viungo.

No comments:

Post a Comment