Tuesday, January 24, 2012

BREEEKING NEEEWS, MWEKEZA KAPUNGA AFANYA KUFRU YA MWAKA

Mwekezaji wa Shamba la Kapunga lililopo katika Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya, baada ya kufanya baadhi ya matukio kadhaa ya vitendo vya ukatili na unyanyasaji juu ya wananchi wa kijiji cha Kapunga sasa amekuja na kali ya Mwaka ya Kumwaga dawa ya Sumu kwa njia ya usafiri wa Ndege kwa kisingizio cha kuua Ndege waharibifu wa mazao.

Mwekezaji huyo katika siku za hivi aribuni amekuwa akifanya matukio mbalimbalin kama ya kumgonga mwananchi ambaye amelazwa kwa zaidi ya miezi 3 Hospitali, kumpiga risasi Ng'ombe wa mwananchi mkazi wa kijiji cha Kapunga, kumuua kwa kumgonga Ng'ombe wa mwananchi wa kijijini hapo, lakini sasa amekuja na kali y mwaka baada ya kunyinyiza dawa (Sumu) kwa madai ya kuua Ndege waharibifu wa mazao Kwerea kwerea) .

Habari kamili fuatilia Mtandao huu.

No comments:

Post a Comment