Meneja mkuu wa benki ya wananchi MUCOBA Bw. Danny Mpogole akitoa taarifa mbalimbali za Benki ya MUCOBA, katika mkutano mkuu wa 13, uliofanyika ndani ya ukumbi wa shule ya Southern Highland Mafinga Wilayani Mufindi, katika mkoa wa Iringa.
Muasisi wa Benki ya wananchi Mufindi Bw. James Mungai.
BANKI hiyo ya wananchi MUCOBA imefanya mkutano wake mkuu wa 13, kwa kuwakutanisha wanahisa wote, ili kujadili maendeleo ya taasisi yao ya Kifedha, ikiwa pamoja na kufanikisa kuwakopesha wanachama wake zaidi ya shilingi Bilioni 7.7.
Meneja msaidizi wa kurugenzi ya usimamizi wa mabenki Tanzania (BoT) Bw. Frank Simindei Aminiel, akitoa maoni kutoa BoT, kwa wanahisa wa benki ya MUCOBA.
Wanahisa wa MUCOBA wakiwa katika mkutano wao wa 13 wa mwaka
TAARIFA YA MENEJA MKUU WA BANKI YA MUCOBA -
(KWA UFUPI)
(A) AKIBA.
Akiba za wateja zimeongezeka kwa asilimia 34 kutoa sh. Bilioni 4.96 mwaka 2010, hadi Bilioni 6 .64 mwaka 2011.
Idadi ya wateja wa akiba waliongezeka kutoka 19, 100 mwaka 2010 hadi 23, 500 kwa mwaka 2011.
Ongezeko hilo limetokana na juhudi za Banki katika kuhamasisha uwekaji wa akiba miongoni mwa jamii.
(B) MIKOPO
Mikopo iliyopo mikononi mwa wateja iliongezeka hadi kufikia
shilingi Bilioni 5.1 mwaka 2011, kutoka shilingi Bilioni 3.72
mwaka 2010.
shilingi Bilioni 5.1 mwaka 2011, kutoka shilingi Bilioni 3.72
mwaka 2010.
Ongezeko la mikopo (ambayo ni 38%) lilisababisha kuongezeka
kwa mapato yanayotokana na mikopo, kwa asilimi 35, kutoka
shilingi Bilioni 1 mwaka 2010, hadi shilingi Bilioni 1.4 mwaka
2011 na kufanya mapato ya Banki kwa ujumla kuongezeka.
kwa mapato yanayotokana na mikopo, kwa asilimi 35, kutoka
shilingi Bilioni 1 mwaka 2010, hadi shilingi Bilioni 1.4 mwaka
2011 na kufanya mapato ya Banki kwa ujumla kuongezeka.
Mapato ya mikopo yamechangia asilimia 80 ya mapato yote ya Benki.
Mwaka 2010 Benki ilitoa mikopo yenye thamani ya shilingi
Bilioni 5.1 kwa wateja 3,831. Katika kipindi cha mwaka 2011 benki imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi Bilioni 7.7 kwa wateja wapatao 5,532. Hili ni ongezeko la asilimia 50.
Bilioni 5.1 kwa wateja 3,831. Katika kipindi cha mwaka 2011 benki imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi Bilioni 7.7 kwa wateja wapatao 5,532. Hili ni ongezeko la asilimia 50.
(C) SHUGHULI NYINGINE
Shughuli za uwekezaji kwenye mabenki mengine zimechangia
shilingi Milioni 57.6 ambayo ni asilimia 3 ya mapato yote na huduma nyingine za benki na ada mbalimbali zilichangia shilingi milioni 284.7ambayo ni asilimia 17 ya mapato yote ya Benki.
shilingi Milioni 57.6 ambayo ni asilimia 3 ya mapato yote na huduma nyingine za benki na ada mbalimbali zilichangia shilingi milioni 284.7ambayo ni asilimia 17 ya mapato yote ya Benki.
No comments:
Post a Comment