Friday, July 20, 2012

TAFRIJA YA HARUSI YA ISAACK MWAIPAPE $ NEEMA MADOLE


Bw. Harusi Isaac Mwaipape na Bi. Harusi Neema Madole wakiwa katika nyuso za furaha wakitafakari juu ya maisha yao ya pamoja, ndani ya ukumbi wa Executive, uliopo katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.




Bi. harusi na Bw. Harus wakiserebuka, kuonyesha furaha yao siku yao ya pekee.


Tuserebuke pamoja!!

Kamati ya maandalizi ikiwa katika picha ya pamoja, na maharusi.

Bi. harusi akiwa na mpambe wake 

Huu ni ukumbi wa tafrija ya harusi ya Bw. Isaack Mwaipapile na Bi. Neema  Madole kabla hawajafika ukumbi wa Executive, uliopo katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.




"Kwa kherini wapendwa" Ni kama wanatuaga kwa maneno hayo, baada ya kufanikisha tafrija yao ya harusi, wakiwaaga ndugu, jamaa na marafiki waliofika katika sherehe yao.

MTANDAO HUU UNAWATAKIA AFYA NJEMA, KATIKA SAFARI MPYA YA MAISHA.




No comments:

Post a Comment