Waandamanaji jijini Dar es salaam Wakionyesha ishara ya igizo jinsi mwanahabari mwenzao alivyouawa
WANAHABARI JIJINI DAR ES SALAAM WAKIWA KATIKA MOJ YA MAANDAMANO KMA NI MOJA YA KUPINGA NA KULAANI VIKALI MAUAJI YA DAUD MWANGOSI- MWANDISHI WA KITUO CHA LUNINGA CHANEL TEN.
WANAHABARI IRINGA WAKIWA KTIKA MOJA YA NJIA WALIZOPITA WAKATI WA MAANDAMANO YA KULANI VIKALI MAUAJI YA MWANDISHI DAUD MWANGOSI
BAADHI YA WANAHABARI WALIANGUA VILIO BAADA YA KUFIKA KATIKA BUSTANI YA MANISPAA YA IRINGA, ENEO AMBALO DAUD MWANGOSI AMBAYE ALIKUWA NI MWENYEKITI WA CLAB YA WAANDISHI MKOANI HUMO, ALIPOKEA MAANDAMANO YA KUPINGA UBAGUZI ULIOKUWA UKIFANYWA NA OFISI YA MKUU WA MKOA WA IRINGA- AMBAPO WANAHABARI HAO WALISUSIA KUFANYA KAZI ZA OFISI YA MKUU HUYO.
MAANDAMANO MKOANI HUMO YAMEFANIKIWA KUTOKANA NA KUTOKUWEPO KWA VURUGU ZOZOTE
WAKATI HUO HUO HUKO JIJINI DAR ES SALAAM-
Katika ya isiyo ya kawaida wanahabari jijini Dar es Salaam wamemzomea na kumfukuza Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Dr.Emmanuel Nchimbi katika maandamano ya Kulaani mauwaji ya Daudi Mwangosi Leo jijini DAR.
Hatua hiyo imetokea baada ya waziri huyo wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi kufika katika viwanja vya jangwani kwa ajili ya kujipa jukumu la kupokea maandamano bila mwaliko.
Kutokana na zomea zomea hiyo ya wanahabari hao dhidi ya waziri NCHIMBI hali ilionekana kuwa si shwari na kupelekea waziri huyo kuondolewa na rais wa UTPC Keneth Simbaya na viongozi wengine wakiwemo askari polisi.
Wakati hayo yakiendelea huko mkoani Mara jeshi la polisi lateka ofisi ya waandishi wa habari Kama njia ya kushinikiza wasifanye maandamano yao
No comments:
Post a Comment