Muungano wa asas za kiraia mkoani Iringa ICISO imewataka watumishi wa umma kuvaa mavazi yanayolingana na maeneo ya kazi.
Hayo yamezungumzwa na Ofisa uhusiano wa asas hiyo Bw. Charles Lwabulala katika mdahalo wa wadau wa ngo's mbalimbali mkoani hapo ulioandaliwa na ICISO ambapo lengo lilikuwa kutoa elimu juu ya utawala bora..
Lwabulala amesema tabia ya baadhi ya watumishi wa umma kutozingatia uvaaji wa mavazi ni moja kati ya ukiukwaji wa maadili ya umma.
No comments:
Post a Comment