Maombi na sala ni kila kitu katika kufanikisha mambo
Diwani wa Kata ya Madibira Bi. Mwajuma Pezoo akisoma sala ya kuliombea baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya katika kikao chake cha kwanza kilichofanyika katika ukumbi wa Maji katika mji mdogo wa Rujewa Mbarali.
No comments:
Post a Comment