Mbunge wa jimbo la Njombe Kaskazini Bw. Deo Sanga kupitia tiketi ya CCM akikabidhi gari la wagonjwa (Ambulance) katika Kituo cha afya cha Makambako
Bw. Sanga almaarufu kwa jina la "Jah People" pia ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa ametoa msaada huo ili kuwaepusha wagonjwa na adha ya kukodi magari ya kuwapeleka katika Hospitali nyingine.
Amesema kutolewa kwa gari hilo ni utekelezaji wa ahadi ya Waziri mkuu wakati wa kampeni za chama cha Mapinduzi katika jimbo hilo.
No comments:
Post a Comment