Sunday, April 10, 2011

Wanahitaji msaada wa daraja hawa!!


Picha: Wananchi wa kijiji cha Magwalisi wakivuka maji ya mto Nyangasada kuelekea katika kijiji cha Nyeregeti katika Mji wa Rujewa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Wananchi hawa hukosa huduma za kibinadamu pindi tu mvua zinaponyesha na kujaa katika mto huo ambao hauna hata daraja la mbao, Jamani haya kweli ni maisha bora kwa kila Mtanzania????

No comments:

Post a Comment