Friday, May 6, 2011

ICISO wawakutanisha wananchi kujadili Ukimwi na Kilimo

Picha: Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi. Sara Dumba akifungua mkutano wa wadau wa asas za kiraia katika Ukumbi wa Mid Town Mjini Makambako.

Muungano wa asas za kiraia nchini umefanya mkutano wa wadau wa asas kwa kujadili Kilimo na Ukimwi katika ukumbi wa Mid Town katika Mji wa Makambako katika Mkoa wa Iringa


No comments:

Post a Comment