Wednesday, March 21, 2012

KIKWETE AZINDUA MRADI WA MAJI ULIOGHARIMU ZAIDI YA SH. BIL. 1 IRINGA

Mh. Rais wa Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Kimande Pawaga, Mkoani Iringa  baada ya kufanya uzinduzi wa mradi wa maji uliogharimu zaidi ya shilingi Bilioni 1, hayo yakiwa ni maandalizi ya siku ya maji, ambayo kitaifa inafanyika mkoani Iringa na mgeni rasmi ni rais Kikwete.

No comments:

Post a Comment