Saturday, May 12, 2012

WAUGUZI IRINGA WATOA MSAADA KWA WAGONJWA


Kaimu muuguzi mkuu wa Hospitali ya Mkoa Bi. Diomisia Mgatta na kaimu muuguzi mkuu wa manispaa ya Iringa Bi. Jane Kiwone wakikabidhi zawadi kwa mgonjwa aliyelazwa katika Kituo cha afya cha Ipogolo, hiyo katika kuadhimisha siku ya Wauguzi ulimwenguni.


kaimu muuguzi mkuu wa manispaa ya Iringa, Bi. Jane Kiwone akiwasha mshumaa kama ishara ya upendo na uvumilivu katika taaluma yake ya uuguzi.


Kaimu mganga mkuu wa manispaa ya Iringa Dr. Nicolous Ntabaye akiwasha mshumaa.


Usijari, utapona,!! Ni maneno yake kaimu muuguzi mkuu wa manispaa ya Iringa Bi. Jane Kiwone wakati wauguzi wakitoa zawadi kwa wagonjwa waliolazwa katika Kituo cha afya cha Ipogolo ikiwa ni ishara ya upendo kwa wagonjwa. 


Kazi na dawa!!




No comments:

Post a Comment