Thursday, March 31, 2011

Hapa tupo pamoja hata kama upo bize na hiyo chai


Mmiliki wa blog hii Bi. Oliver Richard Motto na mwandishi mwenzake wa gazeti la Majira Bi Ester Macha wakiwa katika kikao cha baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mbarali, wakiwa na mtunza hazina msaidizi wa Halmashauri hiyo Rajabu Ngalawa ambaye amekishika kikombe cha Chai, wakifuatilia kikao hicho kwa ufasaha.

No comments:

Post a Comment