Kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Bw. Sengayevene Mkalimoto ambaye pia ni injinia wa Wilaya akipatiwa zawadi ya Parachichi na mlinzi wa ofisi ya kituo cha afya cha Lupembe baada ya kituo hicho kupewa msaada wa gari la wagonjwa lenye thamani zaidi ya sh. Milioni 200 katika kituo cha afya cha Lupembe.
Kata ya Lupembe kwa sasa wananchi wake wanajihusisha na kilimo cha Parachichi (Katapera) ambapo zao hilo limekuza kipato cha wananchi wa eneo hilo na kuongeza idadi ya mazao ya biashara.
No comments:
Post a Comment