Ofisa uhusiano Bw. Charles Lwabulala akitoa elimu ya utawala bora katika moja ya midahalo iliyoandaliwa na asas ya Iringa Civil Society Organization (ICISO) katika wilaya za Makete, Njombe na Makambako, ambapo wananchi walihoji juu ya wabunge wa jimbo hilo kutokuwa na ofisi.
No comments:
Post a Comment