Thursday, March 24, 2011

MAKAMBAKO WATOA ONYO KWA MAOFISA AFYA




Washiriki wa mdahalo wa utawala bora ulioandaliwa na muungano wa mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani Iringa ICISO katika ukumbi wa Anex Paradise mjini hapo.


Wananchi wa mji mdogo wa Makambako Wilayani Njombe wametoa tahathari kwa maofisa afya wanaopenda kutembelea kufika katika migahawa, soko na hoteli kwa lengo la kuwatisha wafanyabiashara ili kupatia chakula.

No comments:

Post a Comment