MBUNGE ATOA ONYO KWA VIONGOZI WALIOUZA ARDHI YA KIJIJI
Baadhi ya wananchi wakiwa na mabango wakimpokea mbunge wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Bw. Dickson Kilufi ambapo wananchi hao wa kata ya Luhanga walimlalamikia mbunge huyo kuwa viongozi wa kijiji wameuza ardhi na wao kukosa maeno ya kulima.
No comments:
Post a Comment