Friday, March 25, 2011

SOKO LA NYANYA MAKAMBAKO NI KITUKO ZAIDI YA BALAA



Wafanyabiashara wa soko la Nyanya lililopo Kata ya Mjimwema katika mji wa Makambako wameulalamikia uongozi wa Mamlaka ya mji mdogo wa Makambako kwa kushindwa kufanya ukarabati wa soko hilo.

No comments:

Post a Comment