Saturday, March 26, 2011

HII NAYO NI KAZI KWELI KWELI


Wananchi wa Kata ya Kapunga katika Wilaya ya Mbarali wakitengeneza daraja la miti ambalo ni hatari kwa usalama wa maisha yao.


Watafanya nini sasa na hali halisi ndiyo hiyo!!!

No comments:

Post a Comment