Tuesday, April 5, 2011

Daraja hili laweza kuleta madhara kwa wananchi


Pichani: Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Bi Gerza Sabir ambaye pia ni diwani wa Kata ya Rujewa,akizungumza na mpita njia wakati wa kuangalia daraja la mbao lililopo katika kijiji cha Nyeregete ndani ya mji wa Rujewa Mbarali ambalo lilitolewa taarifa kuwa daraja hilo linataka kuvunjika.

No comments:

Post a Comment