Picha: Kaimu mganga mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Mbarali akiungana na kikundi cha ngoma kucheza katika kijiji cha Utulo wakati wa maadhimisho ya siku ya kifua kikuu duniani.
Wito umetolewa kwa jamii kuacha tabia ya kukatisha dozi ya dawa ya ugonjwa wa Kifua kikuu na kutumia vilevi kama pombe na sigara.
Rai hiyo imetolewa na kaim mganga mkuu wa Hospitali ya wilaya ya Mbarali bw. Alcado Mwamba, wakati wa maadhimisho ya siku ya kifua kikuu duniani, ambapo wilaya hiyo ilifanya maadhimisho hayo siku ya tarehe 1 mwezi wa nne badala ya tarehe 24 mwezi march ya kidunia kwa kila mwaka , huku kikwazo kikuu cha kutofanya siku moja kidunia ikiwa ni uhaba wa rasilimali fedha.
Hatia hiyo ya
No comments:
Post a Comment