Sunday, April 3, 2011

Watakiwa kujihadhari dhidi ya sigara na Pombe


Picha : Kaimu mganga mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Mbarali dr Alcado Mwamba akitoa elimu ya madhara ya uvutaji sigara na unywaji pombe kwa wananchi wa kijiji cha Utulo kata ya Mapogolo Mbarali, katika maadhimisho ya siku ya kifua kikuu duniani Wilayani humo.

No comments:

Post a Comment