Katibu elimu Mkoa wa Iringa Bw. Frank Msigwa akiwasikiliza wanafunzi wa shule ya sekondari Mwembetogwa huku mvua ikinyesha, wanafunzi waliioandamana hadi katika ofisi hizo za elimu wakilalamikia walimu kutowafundisha kwa zaidi ya miezi miwili, wakati siku za mitihani kukabiliana nazo zikiwa jirani
No comments:
Post a Comment