Monday, May 14, 2012

MBICHI NA MBIVU IRINGA, KUWEKWA BAYANA NA NAIBU WAZIRI WA ARDHI


Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, ametinga mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi. 

Katika ziara yake Naibu waziri huyo anataraji kutembelea eneo la Zizi la ng'ombe ambako Manispaa ya Iringa ilivunja nyumba zaidi ya 10 za wananchi kwa madai ya kujengwa ndani ya barabara.

No comments:

Post a Comment