WANANCHI wa Ruaha Mbuyuni Wilaya ya Kilolo katika Mkoa wa Iringa wamepatiwa mafunzo juu ya kushiriki katika kuchangia maoni yao katika uundwaji wa katiba mpya.
Mdahalo huo uliofanyika katika ukumbi wa Upendo katika Kata ya Ruaha Mbuyuni umeandaliwa na mwamvuli wa mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani Iringa (ISICO).
No comments:
Post a Comment