Mkuu wa hifadhi za Taifa TANAPA Bw. Allan Kijazi akitoa hotuba ya kufunga mafunzo ya washitiri wa semina ya uandaaji wa vipindi vya kijamii, yaliyofanyika kwa siku kumi katika ukumbi wa Neema Craft, katika manispaa ya Iringa.
Zoezi la kukabidhiana vyeti likiendelea
Mkuu wa mipango TBC Radio Bi. Edna rajabu, wa pili kulia mwenye koti la suti jeupe kwa weusi, akifurahia mshiriki kukabidhiwa cheti.
Mwakirishi wa TBC mkoa wa Iringa Bw.Zeno Lukoa, akipokea cheti kutoka kwa mgeni rasmi, Bw. Allan Kijazi ambaye ni mkurugenzi wa TANAPA.
Washitiri wa mafunzo ya uandaaji wa vipindi vya kijamii, kupitia Televisheni ya Taifa TBC wakikabidhiwa vyeti na mkurugenzi mkuu wa TANAPA baada ya kumaliza semina hiyo ya siku kumi.
Bw. Allan Kijazi mkurugenzi wa TANAPA kiteta jambo na ofisa uhusiano TANAPA Bw. Pascal Shelutete, nje ya ukumbi wa Neema Craft, baada ya washitiri 42 kumaliza mafunzo ya uandaaji wa vipindi vya kijamii, kupitia TBC.
Ofisa uhusiano wa TANAPA Bw. Pascal Shelutete akifuatilia jambo ukumbini.
No comments:
Post a Comment