Thursday, May 31, 2012

WALALAMIKIA RUMBESA KUDUMAZA UCHUMI WAO


Bibi Sifahamu Wahe, mkazi wa kijiji cha Msosa katika Kata ya Ruahambuyuni wilayani kilolo katika mkoa wa Iringa, akikata majani ya Vitunguu.

Vitunguu maji vikiwa shambani kabla ya kuvunwa, katika shamba lililopo katika kijiji cha Msosa Kata ya Ruaha mbuyuni mkoani Iringa

Wananchi wakiendelea na shughuli za maandalizi ya Vitunguu katika shamba. 


Mfanyabiashara wa Vitunguu akikaribisha wateja katika eneo la Mtandika, Iringa 

 Wateja wakiulizia bei ya Vitunguu katika kijiji cha Mtandika, Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa










No comments:

Post a Comment