Kaimu mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Bw. Moses Mashaka akiwa katika mkutano huo wa USANGONET
Edson Mwaibanje Mwenyekiti wa USANGONET , akisoma taarifa ya kazi zilizofanywa naa asas hiyo ktika Kata na Vijiji vya Wilaya ya Mbarali.
ASAS ya kiraia ya USANGU NON GOVERNMENTAL ORGANIZATON NETWORK - (USANGONET) imewakutanisha wananchi na viongozi wao kwa lengo ni kuongeza ushiriki wa wananchi katika utoaji wa maamuzi na uchangiji wa maendeleo.
Bw. Bazilio Mwanakatwe, Ofisa uchunguzi mfawidhi nyanda za juu kusini, ofisi ya rais, akiwaeleza wananchi na viongozi namna ya kiongozi bora anavyopaswa kuwa muadilifu na mchapa kazi, katika kutekereza wajibu wa kazi zake, katika mdahalo wa USANGONET.
Katibu mtendaji wa asas ya kiraia ya USANGONET Bw. Paul Kitha, akisikiliza kwa makini yanayojili mkatika mdahalo huo.
Mkutano huo ambao umefanyika ndani ya ukumbi wa Lutherani katika mji wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya umehudhuliwa na kaimu mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Bw. Moses Mshaka.
No comments:
Post a Comment