Friday, August 3, 2012

VYUNGU VYA LUNGEMBA NI UTALII ULIOTEREKEZWA


Wateja wakiangalia vyungu vya kupikia na mapambo ya ndani na nje ya nyumba, yaliyotengenezwa kwa udongo, katika kijiji cha Lungemba katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.

Mteja akichagua moja ya chungu kwa ajili ya shughuli zake  nyumbani, kila sanaa ina bei yake kulingana na ukubwa, urembo na ubunifu.

Mfinyanzi akisubiri wateja, kama alivyokutwa, wafinyanzi hao wamekuwa wakitengeneza vitu mbalimbali kwa kutumia udongo mfinyanzi na hivyo kujitengenezea ajira kutokana na kazi hiyo kuwainggizia kipato.

Mfinyanzi wa sanaa hizo za udongo akimuonyesha mteja moja ya kazi yake ya mikono, ambayo huitengeneza kwa udongo.



No comments:

Post a Comment