Sunday, September 2, 2012

JESHI LA POLISI IRINGA LAUA MWANAHABARI IRINGA

SAMAHANI SANA KWA KUKUWEKEA PICHA HII, ILA UKWELI NDIYO HUU
Gari la RPC pembeni ya mwili wa Daud Mwangosi, baada ya kuuawa na jeshi la Polisi.


Huyu ndiye askari aliyemfyatulia BOMU Daud Mwangosi, hapo akiwa amemuelekezea kifa hicho Mwangosi baada ya kupigwa, huku Askari mmoja Mwampamba akijaribu kumtetea, hali iliyopelekea askari huyo OCD Mwampamba kujeruhiwa vibaya mguu wake, kwani naye bomu hilo lilimuathiri, kuonyesha Mwangosi alikuwa ni mwanahabari mpambanaji hapo bado alikuwa ameshika kamera yake huku akiwa amemkumbatia askari.



Huu ndiyo mwili wa Daud Mwangosi mar tu baada ya kufumuliwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni BOMU.P.I.R -Mwangosi.

Askari akiangalia mwili wa Daud Mwangosi ambao unaonekana mguu ukiwa umechakazwa vibaya na BOMU.









No comments:

Post a Comment