olivermotto.blogspot.com
Friday, January 27, 2012
Hata nyama ya Punda nayo inaliwa tu!!
.
Mzee Juma Mwandyage mkazi wa Migoli Wilayani Iringa akiandaa Nyama ya Punda kwa ajili ya kitoweo na kuuza kwa wananchi, kama alivyonaswa, baada ya Punda huyo kuuawa na Nyuki waliowakosa watoto watano.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment