Friday, January 27, 2012

SAFARI NI SAFARI TU, HATA KWA BAISKERI YA FIMBO

  • Wakati wananchi wanawaza kupanda kwa bei za mafuta, watoto hawa hawana taabu na mawazo hayo, kwani wamerahisisha usafiri wao kwa kutumia Baiskeri ya Fito, kama walivyokutwa na mpiga picha wa blog hii, huko Kijiji cha Migoli katika Halmashauri ya Iringa.

No comments:

Post a Comment