Viongozi wa Mamlaka ya mji wa Rujewa(Diwani wa Kata ya Lujewa ambaye pia ni makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Bi. Gulza Sabir,na makamu Mwenyekiti wa Mamlaka ya mji mdogo Alphonce Nditi)wakifuatilia kwa makini hoja na maswali ya wadau wa kikao hicho ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya mji.
No comments:
Post a Comment