Monday, April 18, 2011

kukwepa Kichocho hapa ni ngumu kweli!!


Watoto wa kijiji cha Nyelegete, wakicheza katika maji ya mto Nyangasada ambayo si salama kwa afya zao, hali hiyo inaweza kuibua magonjwa ya mlipuko kama Kipindupndu na magonjwa mbalimbali ya matumbo.

No comments:

Post a Comment