Mkurugenzi wa mamlaka ya mji mdogo Rujewa, Bw.Festo Mkemwa akipita katika daraja la mbao la mto Nyangasada lililopo katika kijiji cha Nyelegete ndani ya mji wa Rujewa,katika Wilaya ya Mbarali Mbeya,daraja ambalo sasa lipo mashakani kuvunjika kutokana na uchakavu wake na wanafunzi hushindwa kuhudhulia masomo kwa kukwamishwa na maji ya mto huo.
No comments:
Post a Comment