Wednesday, March 21, 2012

WAZIRI AZINDUA MPANGO WA MAJI WA KAMPUNI YA SERENGETI

Naibu waziri wa maji, mh. Gerson Lwenge, akizindua mradi wa uvunaji wa maji ya mvua, katika Hospitali ya Manispaa ya Iringa, ulioandaliwa na kampuni ya Serengeti na kuchangiwa shilingi milioni 300 katika mkoa wa Mwanza, Iringa na Dar es salaam

No comments:

Post a Comment