Ofisa mawasiliano wa Mradi wa CHAMPIONI Bw. Mutta Muganyinzi akitoa taarifa ya namna mshindano yatakavyofanyika, katika Hotel ya John Corner katika Wilaya ya Mufingi mkoani Iringa, ambapo mradi huo umeingia wilayani humo kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji, ambapo mashindano hayo yanakwenda kwa jina la "KUWA MFANO WA KUIGWA"
Bw. Alnod Mapunda mratibu wa mashindano ya "KUWA MFANO WA KUIGWA" akizungumza na timu za mchezo wa mpira wa miguu, (hawapo pichani) katika Wilaya ya Mufindi
Ofisa mawasiliano wa mradi wa CHAMPION Bw. Mutta Muganyizi akionyesha kombe la ushindi linaloshindaniwa kwa
No comments:
Post a Comment