ZAIDI wa waandishi wa habari kumi wa chama cha waandishi wa habari mkoani Iringa wamepewa mafunzo juu ya kuandika habari za "Online" na ubunifu wa mitandao ya kijamii kwa lengo la habari hizo kuwafikia mara moja wananchi.
Mkufunzi wa mafunzo hayo, Bw. Maggid Mjengwa, ambaye pia ni mwandishi nguli wa siku nyingi na mmiliki wa blog ya Mjengwa.blogspot.com, katika ukumbi wa maktaba ya mkoa wa Iringa.
No comments:
Post a Comment