Wanahabari Mercy Jems anayeandaa mwili , na mmiliki wa mtandao huu, Bi. Oliver Motto aliyeshika Picha wakiwa nyumbani kwa marehemu Vick, kwa maandalizi ya kumuaga mwenzao mara ya mwisho kwa ajili ya kumsafirisha kwenda kwao Moshi mkoa wa Kilimanjaro.
Wanahabari wakipita kuaga mwili wa marehemu Vick nyumbani kwake Kibwawa Iringa, kabla ya kusafirisha kwenda kwao Moshi- Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment